Open on YouTube

Audience and activity

Subscribers57.5K
Views per video197median of the last 30
Views per subscriber0.00how many actually watch
Comments per video0median
Uploads per month5.1
Last upload2mo ago2026-08-14
Total views4.5M
Total videos3.8K
Long-form / Shorts16% / 4%

Counts come from the YouTube Data API and are refreshed regularly; medians are computed from the channel's last 30 videos.

What Habari za UN makes

Topics united nations, africa, human rights, climate change, peace and security, education, development

Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa au UNNews Kiswahili inaripoti shughuli za UM kutoka makao yake makuu mjini New York, Marekani na kote duniani. Masuala ya amani na usalama, maendeleo na haki za binadamu ni masuala yanayotuhusu , hivyo habari za utatuzi wa migogoro, uchaguzi, afya, umasikini, elimu na mabadiliko ya hali ya hewa yanachukua nafasi kubwa katika orodha ya mada tunazoripoti. Idhaa ya UM mbali ya kutangaza habari na makala pia inatoa fursa ya bure kwa watu kupata sauti na video mbalimbali kupitia kwenye tovuti ya makataba yake ambayo ni (UN Audio Library website), sauti na video hizo ni kutoka kwenye mikutano inayoendelea na matukio ya kila siku , na pia sauti zilizohiofadhiwa zamani maktaba. Pia sauti na video hizo zinapatikana katika ubora wa hali ya juu na mtu anaweza kurekodi moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu kwa kutumia faili ya MP3.

Features other people

Recent videos

TitlePublishedViewsLength
Juhudi za UN zarejesha amani na matumaini kwa wananchi mashariki mwa DRC2026-09-096934 min
Jinsi JP RWEE ilivyowanufaisha wanawake Tanzania2026-09-04648 min
Jinsi mradi wa JP-RWEE unavyosaida kubadilisha maisha ya wanawake wa vijijini nchini Rwanda2026-09-02657 min
UNICEF yaimarisha upatikanaji wa maji salama katika Kaunti ya Garissa na Mandera nchini Kenya2026-08-28552 min
Kulinda Ziwa Albert ni jukumu letu sote: Wavuvi Uganda2026-08-28955 min
Kumbukumbu za waathirika wa ugaidi zisitumike kuchochea chukiShort2026-08-211711 min
Umoja wa Mataifa na Sudan Kusini waimarisha maandalizi dhidi ya Ebola2026-08-201273 min
Bendera nusu mlingoti kwa ajili ya wahudumu wa kibinadamu2026-08-19463 min
Wahudumu wa kibinadamu wanaohatarisha maisha kuwaokoa wengine lazima walindwe: UN2026-08-19542 min
Simulizi ya muuguzi Cedric Lusimba aliyehudumu nchini Djibouti na Yemen katikati ya migogoro2026-08-191229 min

Contact Habari za UN

Email none found in the channel description

YouTube youtube.com/@unnewskiswahili

Contacts come only from what the channel publishes — its description and linked website.

Channels like Habari za UN

Same topics, similar size.

Looking for more channels like this? Search the directory by topic, size, content type and who they feature.

Find similar channels